Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
- Thread starter
- #21
Unishangaza sana unaposema sijui huwa wakipata pesa wanaishia kununu sabufa au seapiano?kati ya watu wazuri na wafuatiliaji wazuri wa movie ama drama zote zinaxohusiana mapigano ya aina yoyote ya silaha ama ya ngumi pia kati ya watu wanaofuatilia movie za kipelelezi si wengine ni polisi.Tatizo lako wewe au wenu mnapenda kuchukulia juu juu utafikilia umetoka usingizini?unauhakikka polisi hawana camera?unauhakika hilo tukio halijarekodiwa punguza kuongelea kitu usichokifahamu.Acha polisi waitwi polisi sio wajinga kama ulivyo wewe?Polisi wako vizuri hakuna kitu wasichokijua kinachohusiana na upolisi duniani.
Sasa mbona walishindwa jua adui halisi, na bado hawajaweza chukua ushahidi hata wa tukio walilolishuhudia wenyewe?