Hii ni aibu kwa polisi:Hadi leo hamna camera ktk operation?hata tukio mliloplay role hamna picha?


Sasa mbona walishindwa jua adui halisi, na bado hawajaweza chukua ushahidi hata wa tukio walilolishuhudia wenyewe?
 

najiuliza kwanini walikuwa wakitaka lipua tank?ili waseme kuwa CDM walisheheni mzigo..so walitaka hadi fire wasije ili wachochee moto na mabomu yao..?wabunge wa CDM waliokuw ana bastola wangechapa huyo mtupa bomu ya kiuno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…