Naomba niungane na wewe kuonyesha masikitiko yangu, ila atakae itazama hio video asisite kutuelezea madhara ya kuvuta oxygen ili tuendelee kusikitika zaidi.Japo sijaiangalia video kutokana na tatizo la MB ila hata mimi nimesikitika sanaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninawasikitikia nyie kwa kusikitika kwenu lakini pia nasikitika sijaangalia hio videoNaomba niungane na wewe kuonyesha masikitiko yangu, ila atakae itazama hio video asisite kutuelezea madhara ya kuvuta oxygen ili tuendelee kusikitika zaidi.
Maendeleo hayana chama
Kuna dada kamaliza digrii ya sanaa kaniambia hajawahi kununua gazeti wala kusoma gazeti lakini ana uwezo mkubwa sana kufuatilia umbeya wa magroup kadhaa ya whataspp, hajui waziri wa ulinzi ni nani lakini anaweza kuimba nyimbo za Diamond platnumz zote. Elimu yetu ni janga la taifaHii clip ya video inazidi kudhihirisha wazi kabisa watanzania wengi hawana elimu Kama tu mtu anaulizwa swali linalomzunguka kwenye mazingira yake lakini anachojibu ni vitu viwili tofauti. Kiukweli mpaka nimejisikia aibu sana kutokana hili.
Kiukweli hakuna taifa lolote lililoendelea au linalotegemea kuendelea likiwa na aina hii ya watu Kama serikali haitakabiliana na situation hii Basi tunasafari ndefu mno
Hayo masikitiko yako yamenisikitisha mpaka mimi, ila kabla ya kutusikitikia sisi kwa kusikitika kwetu na sisi pia tunakusikitikia sana tena kwa masikitiko makubwa kwa kutoitazama hio video jinsi inavyosikitisha.Mimi ninawasikitikia nyie kwa kusikitika kwenu lakini pia nasikitika sijaangalia hio video
mvujajasho nguli
Asilimia kubwa ya wanachuo katika vyuo vya Dsa(institute of accounts) na Cbe matawi yote wanaochukua digrii ni form four waliopata division four. Hakuna form six aliyefaulu vizuri anayeomba kusoma vyuo hivyo fikiria products zikojeKuna dada kamaliza digrii ya sanaa kaniambia hajawahi kununua gazeti wala kusoma gazeti lakini ana uwezo mkubwa sana kufuatilia umbeya wa magroup kadhaa ya whataspp, hajui waziri wa ulinzi ni nani lakini anaweza kuimba nyimbo za Diamond platnumz zote. Elimu yetu ni janga la taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa sasa mkuu umesikitika kitu usichokijuaJapo sijaiangalia video kutokana na tatizo la MB ila hata mimi nimesikitika sanaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app