Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Chuo kikuu cha dodoma kimefunguliwa th 22/10/ lkn ni ajabu mpk sasa hakina ratiba inayoeleweka ya masomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo kikuu cha dodoma kimefunguliwa th 22/10/ lkn ni ajabu mpk sasa hakina ratiba inayoeleweka ya masomo
c sawa hii habari pengine mtoa hoja ana ratiba binafsi anayoihitaji
kwa mujibu wa ulichoandika ratiba ipo ila haieleweki nakushauri urudi nyumbani chuo kitakapoanza kuitwa chuo kikuu cha Jakaya Mrisho Kikwete (ombi kutoka mwenyekiti wa ccm na wana ccm wa Dodoma) mambo yatakwenda sawa!Chuo kikuu cha dodoma kimefunguliwa th 22/10/ lkn ni ajabu mpk sasa hakina ratiba inayoeleweka ya masomo