Hii ni aina gani ya madini? Ninayo ila sijui ni aina gani

Hii ni aina gani ya madini? Ninayo ila sijui ni aina gani

Godbless .m.

Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
48
Reaction score
11
Tafadhali nambie ili niweze kufahamu pia ukijua na bei itakuwa poa sana wakuu
1470389182286.jpg
1470389203398.jpg
 
Mkuu hayo ni tanzanite lakini ile ilokosa rangi yaani imeungia hua inaitwa (snook) soko lake labda uwe nayo mengi
 
Back
Top Bottom