😅 sa vinaingilianaje jamniBila shaka upo Dar 😀
Fanya usafi sehemu unayo lala kuna wadudu wanaong'ataHakika
utakuwa umesafiri nao wamejificha kwenye nguoSidhani sababu jana na leo na maeneo 2 tofauti kabisa tena mbali kabisa 70km ++
hiyo ni warning mwanaume hautakiwi kulala mchana😅😅😅 (joking)Sidhani sababu jana na leo na maeneo 2 tofauti kabisa tena mbali kabisa 70km ++
AI itakupa ushauri mzuriJana nilala mchana kidogo kama dakika 20 gafla nimeamka nakuta mdomo umevimba upande wajuu uliobeba meno ya mbele! kama nimepigwa ngumi au kung’atwa na nyuki!
Leo tuna hapa napoandika nimesinzia kama dakika 10 tuu naamka tayari umesha vimba tena zaidi ya jana!
Ushauri tafadhali..!
Kumbe ukiwanyonya ndo wanakufanyaga hivo?????
Duuh JF ina kila aina ya viumbe, why?
Anapaswa awalambe nyu.chi na siyo kwanyonya ny.uchi... HahahaKumbe ukiwanyonya ndo wanakufanyaga hivo?????