kb52
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 336
- 109
Nimeona kuna App inaitwa "iTriage"..aisee ni nzuri sana kwa madaktari na hata kwa mtu yeyote mwenye kupenda afya yake na kutaka kujua medications na maswala ya magonjwa. .dalili na tiba zake. Iko vizuri sana.
Ipo kwenye googleplay kwenye simu zenye uwezo huo.
Ipo kwenye googleplay kwenye simu zenye uwezo huo.