Hii ni barua ya Posa ya aina gani

Hii ni barua ya Posa ya aina gani

lautanyi

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,073
Reaction score
896
Nimeenda kwenye barua ya posa. Aliyoleta ni bahasha yenye barua ya

1. Kuomba kumposa binti.

2. Kitambaa cheupe kina fedha ndani na kimefungwa na pin nne Katika pembe zake nne.

3. Msumari yaani screw.. je watu wa Pwani au wengine wanaweza kufafanua hasa huo msumari na ufungaji wa kitambaa? Wao waislamu binti mkristo. Majibu walipewa.
 
Hayo ndo waswahili wanayajua! Mambo yasiyocheza mbali ngono!
 
Back
Top Bottom