Au 6 feet underground Mobutu.Hiyo ni 6 inches
Congo, Zaire.Acha tupime akili za watu View attachment 2393872
Halafu yupo hapa kupima watu akili....hii "inch" uhuru umezidi 😁INCH
WaTanzania bado tuna safari ndefu sana kwenye suala la elimu
Yaani anatupima akili, huku yeye mwenyewe akiwa hana hizo akili! Sasa kama yeye mwenyewe ameshindwa kutofautisha kati ya NCHI na INCH, si shida hii!!!Halafu yupo hapa kupima watu akili....hii "inch" uhuru umezidi 😁