Hii ni biashara ya ukweli au?

Zebaki nyekundu ni tshilling ngapi kwa gram moja
 
Hii paka itawaliza wengi sana daah
 
Red mercury is purportedly a substance of uncertain composition used in the creation of nuclear weapons, as well as other weapons systems. Because of the great secrecy surrounding the development and manufacturing of nuclear weapons, there is no proof that red mercury exists.
 
Kwa hiyo story kuhusu Red Mercury ni hypothetical.
 
Google inaandikwa na watu na siyo kila kitu utakipata huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…