Hii ni biashara ya ukweli au?

Hii ni biashara ya ukweli au?

Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU).
Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii ipooooo?
Na nimeambiwa kuwa ukifanikiwa kuipata bei yake huwa ni kubwa je kuna ukweli?Naomba kuwasilisha
Zebaki nyekundu ni tshilling ngapi kwa gram moja
 
Befor anything be sure from your words you have no
right to insult someone you dont know yah kweli sijui kiswahili cause am not tanzanian anyway it seems nilikosea
nilivo ingia hapa siyo muhimu kwangu uniamini
but atlist watu wamejua hilo ni kweli
have a nice day
Hii paka itawaliza wengi sana daah
 
Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU).
Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii ipooooo?
Na nimeambiwa kuwa ukifanikiwa kuipata bei yake huwa ni kubwa je kuna ukweli?Naomba kuwasilisha
Red mercury is purportedly a substance of uncertain composition used in the creation of nuclear weapons, as well as other weapons systems. Because of the great secrecy surrounding the development and manufacturing of nuclear weapons, there is no proof that red mercury exists.
images%20(35).jpg
 
Red mercury is purportedly a substance of uncertain composition used in the creation of nuclear weapons, as well as other weapons systems. Because of the great secrecy surrounding the development and manufacturing of nuclear weapons, there is no proof that red mercury exists.View attachment 2384516
Kwa hiyo story kuhusu Red Mercury ni hypothetical.
 
Google inaandikwa na watu na siyo kila kitu utakipata huko
 
Back
Top Bottom