Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata nae mapacha mara 2. Watoto wote 6 wanafanana na baba yao kupita kiasi.
Kijana nae akaoa, nae amebahatika kupata mapacha mara 2 ambao nao wanafanana na huyo kaka wa baba yao kiasi cha kuwafanya waonekane kama sehemu ya familia ya huyo kaka...
Hii ni coincidence au kuna maelezo ya kitaalam - genetics...?
Annina
Kuna Uwezekano Mkubwa Mila Zimedumishwa hapo
Mpendwa mbona sijakuelewa hapo?
Nifafanulie please.
Upo lakini?
Kwa kweli ni utata...wenye uelewa wa genetics wangetusaidi hapa lol!
..........mtoa hoja, je hao mtu na binamu/kaka yake wanafanana kwa sura? kama wanafanana kwa sura-jibu ni simple=genetics. kama hawafanani kisura...vipi ndugu wengine wa karibu yao,je kuna mfanano wa sura? mfano watu wa ukoo wangu huwa tunafanana sana kisura tuwe kwa upande wa wanawake au wanaume,tunafanana sana so still ka case yao genetics bado inaweza ku-play party. Hii ni matter ya heretability ya vinasaba ndani ya huo ukoo.
otherwise mengine watajuana wenyewe! by the way,baba wa mtoto ana-doubt?
Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata nae mapacha mara 2. Watoto wote 6 wanafanana na baba yao kupita kiasi.
Kijana nae akaoa, nae amebahatika kupata mapacha mara 2 ambao nao wanafanana na huyo kaka wa baba yao kiasi cha kuwafanya waonekane kama sehemu ya familia ya huyo kaka...
Hii ni coincidence au kuna maelezo ya kitaalam - genetics...?
Annina
Kuna Uwezekano Mkubwa Mila Zimedumishwa hapo
Mhhh...pana shida nyumba hiyo...Huyo bwana-kaka huwa anantuma mdogo wake akalinde nyani shambani, huku anahamia chumbani kwake!..