Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Uwezo wa kuzaa mapacha uko kwa mwanamke tuu na sio mwanaume, hivyo huyo kaka kupata wake wazaa pacha na mke wa nduguye kuzaa pacha, nijust a coincidence kwa upande wa mwanamume na wanawake hao, ila kwa wanawake kuzaa pachana kujirudia,ni genetics kwenye mambo ya mutations.
Hili la mke wa mtu kuzaa watotowanaofafana na nduguau jirani,pia its normal. Uthibitishoukokwenye biblia, ukiwa mja mzito, yule mtuunayemchukia sana basi utazaa mtoto anayefanana nae. Mbona jamanihata mimina wife wote weusi tii, wife amekaa ulaya, amejifungua mtoto mweupe copyright na mimi baba yake?. Wife akasema wakati wa ujauzito, aliwachukia sana wazungu!, its normal!.
Ukiona wanawake wamekaa kimya hapo kwenye bluu ujue wamekushka masikio mzee.....Huo ni uongo wa mitaani, hakuna uhusiano wowote wa Kisayansi eti mtu anayechukiwa ndiye mtoto anazaliwa anafanana naye! Jaribu kuuliza wataalamu wa genetics, sio ku-base argument yako kwenye mambo ya mitaani....Yale yale ya ''kumbemenda mtoto, kukata kimeo na degedege''!!