Hii ni dalili gani kwenye kifaa hiki cha fridge?

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
20230325_075003.jpg
20230325_075011.jpg
 
Wataalam,Huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini?je kuna madhara?
Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa
inaweza kuwa ni leakage kwenye pipe hiyo ya condenser, hapo refrigrant inaingia kwa pressure kubwa kutoka kwenye compressor... kuthibitisha kama ni leakage / kuvuja weka maji kidogo kwenye pipe nje uone kama kuna hewa inatoka au (not recommended) kuchukua mfuko wa plastic kama wa mikate hii loaf, then funga na shika kwa mkono kama unavimba basi ni leakage..... Je fridge hiyo ni brand gani? kwa msaada zaidi unwa nicheki mkuu 0763 84 84 32, Dar es salaam, Ubungo
 
Sawa mkuu,je niweke maji ikiwa on au off? Fridge ni boss
 
inaweza kuwa ni leakage kwenye pipe hiyo ya condenser, hapo refrigrant inaingia kwa pressure kubwa kutoka kwenye compressor... kuthibitisha kama ni leakage / kuvuja weka maji kidogo kwenye pipe nje uone kama kuna hewa inatoka au (not recommended) kuchukua mfuko wa plastic kama wa mikate hii loaf, then funga na shika kwa mkono kama unavimba basi ni leakage..... Je fridge hiyo ni brand gani? kwa msaada zaidi unwa nicheki mkuu 0763 84 84 32, Dar es salaam, Ubungo
Vipi akiweka povu la sabuni juu ya pipe hiyo?
 
Hii leakage inasababishwa na nini?au mimi matumizi yangu mabaya?maana huwa naiwasha usiku wote japo umeme huku kwetu ni kata washa muda wote ila natumia fridge guard
 
inaweza kuwa ni leakage kwenye pipe hiyo ya condenser, hapo refrigrant inaingia kwa pressure kubwa kutoka kwenye compressor... kuthibitisha kama ni leakage / kuvuja weka maji kidogo kwenye pipe nje uone kama kuna hewa inatoka au (not recommended) kuchukua mfuko wa plastic kama wa mikate hii loaf, then funga na shika kwa mkono kama unavimba basi ni leakage..... Je fridge hiyo ni brand gani? kwa msaada zaidi unwa nicheki mkuu 0763 84 84 32, Dar es salaam, Ubungo
Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
View attachment 2564564View attachment 2564565
Mkuu ulifanikiwa kumpata huyu mkuu wa ubungo
 
Back
Top Bottom