Hii ni dalili kuwa vijana wengi hawajiamini

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
245
Reaction score
457
Mtu unakutana naye mara ya kwanza kabisa,hamjawahi hata kuonana au kuongea nae lakini akiingia kwenye ofisi yako utasikia anakwambia
¶[emoji2788]"Nilikuwa naulizia kazi"="I was asking for a job"
[emoji848]Haya ulikuwa unaulizia kazi,wapi huko?? imekuwaje sasa,ulipata hiyo kazi,nikusaidieje sasa?????
Au una maana uliniuliza hiyo kazi labda sikusikia ndo umekuja kurudia ili nikusikie vizuri??????

[emoji16]Au mtoto anakwambia[emoji2788] "nilikuwa naomba hela"="I was asking for money"
[emoji848]When were you asking for money??
From whom????
Did he/she give the money to you????

*Labda kama aliomba hela na hukumsikiliza vizuri,hapo atakuwa na nafasi ya kuulizia tena kwa maneno yale,tofauti na hapo huyo mtu hajiamini,hana uhakika na kitu anachohitaji au yupo kitapelitapeli anataka ujiongeze
#Huku ni kukosa confidence........ period.
 
Nadhani katika kila lugha kuna namna ambavyo hukosewa,kutumiwa tofauti na taratibu za lugha husika,inawezekana kutojiamini ipo lakini pia ni mazoea tu ya hiyo misemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…