Wamajanga Senior Member Joined Jun 24, 2014 Posts 133 Reaction score 47 Mar 26, 2015 #1 Ndugu zanguni hivi juzi niliishiwa nguvu na baada ya hapo kuanzia siku hiyo hadi leo siwezi kuongea sana pumzi zinanibana. Sasa wengine wanasema naumwa moyo wengine wananiambia ni presha nini tatizo la ukweli Msaada
Ndugu zanguni hivi juzi niliishiwa nguvu na baada ya hapo kuanzia siku hiyo hadi leo siwezi kuongea sana pumzi zinanibana. Sasa wengine wanasema naumwa moyo wengine wananiambia ni presha nini tatizo la ukweli Msaada
Kifai JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 816 Reaction score 173 Mar 27, 2015 #2 Hapa utaambiwa story nyingi....! Nenda kamuone daktari mkuu