Hii ni dalili ya ugonjwa gani

Hii ni dalili ya ugonjwa gani

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Ndugu zanguni hivi juzi niliishiwa nguvu na baada ya hapo kuanzia siku hiyo hadi leo siwezi kuongea sana pumzi zinanibana. Sasa wengine wanasema naumwa moyo wengine wananiambia ni presha nini tatizo la ukweli

Msaada
 
Back
Top Bottom