Hii ni dawa nzuri sana kwa vidonda vya tumbo

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,441
Wakuu habari

Kwa wale wanao sumbuliwa na Vidonda vya tumbo kwa muda mrefu, nina hii dawa inaitwa NEXOL .

Ni Tiba asili mchanganyiko wa mimea tofauti tofauti. Ni dawa ambayo ukitumia unapona kabisa vidonda vya tumbo.

Dose ni chupa 12..

Matokeo utaanza kuyaona mapema kabla ya kumaliza dose.

Gharama ya doze ni 120000

Nipigie 0616274277
 

Attachments

  • Screenshot_20250609_151258_Instagram.jpg
    117.6 KB · Views: 35
Asante sana
 
Utapeli mtupu, unajua vidonda vya tumbo kisayansi inasababishwa na vitu viwili vikuu, ww hiyo dawa inaweza kuua H-pylori bacteria au ni uhuni tu..!!
Rudia tena. Utapeli mtupu tena haujavaa hata nguo. Kwanza Tanzania ni wengi wanadang'anywa kuwa wana vidonda vya tumbo.
 
Dawa ya kwanza ya vidonda vya tumbo nikujua kisababishi then unadili na kissbabishi. 1. Kama ni bacteria unatumia antibiotic, kama ni ulaji mbaya unapangilia ratiba ya kula, kama ni stress unatafuta njia za kuacha stress . Hatua ya pili unatibu vidonda vyenyewe. Nje ya hapo ni nonsense tu utakuwa unafanya
 
Kwa nini dawa yako inaitwa Nexol wakati ni tiba asili?
 
120,000*chupa 12 = 1,440,000/=
Mwaka huu lazima utajirike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…