Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Doze ni chupa 12....120,000*chupa 12 = 1,440,000/=
Mwaka huu lazima utajirike!
Doze ni 120000
Doze ni chupa 12....120,000*chupa 12 = 1,440,000/=
Mwaka huu lazima utajirike!
Eti Mshana Jr kuna ukweli hapa au tunapigwa tu?Wakuu habari
Kwa wale wanao sumbuliwa na Vidonda vya tumbo kwa muda mrefu, nina hii dawa inaitwa NEXOL .
Ni Tiba asili mchanganyiko wa mimea tofauti tofauti. Ni dawa ambayo ukitumia unapona kabisa vidonda vya tumbo.
Dose ni chupa 12..
Matokeo utaanza kuyaona mapema kabla ya kumaliza dose.
Gharama ya doze ni 120000
Nipigie 0616274277
Ndio madude gani hayo mkuu?Kama unaugua vidonda vya tumbo kula mashona nguo mara 1 kwa siku mara 3 vitaisha kabisa
Kuna jamaa ameweka picha comment za juuNdio madude gani hayo mkuu?
mabichiKama unaugua vidonda vya tumbo kula mashona nguo mara 1 kwa siku mara 3 vitaisha kabisa
kuna dada nilisoma nae alinunua anadai yeye alipona kabisaReahabu aliwanywesha wagonjwa madumu na madumu ya juice na kutapeli hakuna aliyepona
Ndiomabichi