Hii ni dedication kwetu sisi wahenga

Halafu unamsikiliza Michael katembo na kipindi chake cha mbiu ya mikoa, yaani kwa mbwembwe nayeye alikua anaimba kwa kufuatiza ule wimbo wa kuanzishia kipindi,watangazaji Enzi hizo walifanya kazi kwa mapenzi na sio pesa tu!
kipindi cha misakato unasikiliza nyimbo mpya zilizoingia studio, kipindi cha mikingamo unasikiliza wahujumu uchumi kwenye mashirika ya uma wakianikwa
 
Kwenye nyimbo za mchakamchaka umenikumbusha kituko cha wanafunzi wa sekondari moja hapa jirani wanakimbia mchakamchaka kwa nyimbo za ajabu ajabu kama 'Oyooo Oyooo' na 'Mwanaume Mashine'.
Hiyo kali[emoji3][emoji23][emoji16],nyimbo zetu zilikuwa zinatusaidia hata kujibia maswali ya mtihani,sasa hiyo tena duu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natilia shaka uhenga wako!
David wakati hajawahi kusoma mazungumzo baada ya habari.

Kwenye OB van yupo chrispin Lugongo......
 
Literally anaiambia jamii kuwa hakustahili kuendelea na masomo!
Mind-set yake ni "KUHARIBU"
Angalieni "anavyovunja dirisha" la nchi ya tanzania.
 
kipindi cha misakato unasikiliza nyimbo mpya zilizoingia studio, kipindi cha mikingamo unasikiliza wahujumu uchumi kwenye mashirika ya uma wakianikwa
Mzee Khalid ponela na kipindi chake cha zilipendwa kila jumapili saa 4 asubuhi na baadae jioni kipindi chake kingine cha Klabu raha leo show
 
kweli mkuu..kama sio mihogo basi ni visheti na karanga za kukaanga..nimekuwa wa kwanza kwenye huu uzi sababu mzee josee haya hajayapitia
Wahenga tumekula raha, jose amekuwahi
 
For sure brother, very true
 
Huyo atakuwa ndiye mhenga aliyesema mla mbuzi hulipa ng'ombe
 
Literally anaiambia jamii kuwa hakustahili kuendelea na masomo!
Mind-set yake ni "KUHARIBU"
Angalieni "anavyovunja dirisha" la nchi ya tanzania.
Alafu leo ndio namba 1 wa wadanganyika....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…