stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Hakuna kitu nilichokua nakichukia kama kuwahi namba mstarini[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sh5/ au sent 50 a.k.a thumni?Nakumbuka!;
Ilikuwa huchezi mpira kama umevaa viatu.
Na zaidi walikua navyo watoto wa walimu.
Ikifika saa nne, nakula bumunda ( hutengenezwa kwa unga wa mahindi na ndizi mbivu) kwa TSH 5/= na maji kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kipindi cha misakato unasikiliza nyimbo mpya zilizoingia studio, kipindi cha mikingamo unasikiliza wahujumu uchumi kwenye mashirika ya uma wakianikwaHalafu unamsikiliza Michael katembo na kipindi chake cha mbiu ya mikoa, yaani kwa mbwembwe nayeye alikua anaimba kwa kufuatiza ule wimbo wa kuanzishia kipindi,watangazaji Enzi hizo walifanya kazi kwa mapenzi na sio pesa tu!
Hiyo kali[emoji3][emoji23][emoji16],nyimbo zetu zilikuwa zinatusaidia hata kujibia maswali ya mtihani,sasa hiyo tena duu!Kwenye nyimbo za mchakamchaka umenikumbusha kituko cha wanafunzi wa sekondari moja hapa jirani wanakimbia mchakamchaka kwa nyimbo za ajabu ajabu kama 'Oyooo Oyooo' na 'Mwanaume Mashine'.
Natilia shaka uhenga wako!Habari za jioni wana JF
Imetokea nikapata tafakari (reminisce) utamu wa maisha yetu ya kale. Pale ambapo ulikua unajiandaa kwenda shule asubuhi, kwa mbaali unasikia kipindi cha "mazungumzo baada ya habari" kikiendeshwa na Marehemu David Wakati. Unachukua begi lako pamoja na ufagio wako wa chelewa mdogo mdogo mpaka shuleni. Unakutana na mchaka mchaka wenye nyimbo za kumponda adui nduli Idd Amini. Break ya saa nne unapata vipande vyako vya miogo na chachandu unashushia na maji ya bomba. Mzaha wa darasani unaendelea mpaka kengele ya saa nane amabapo kinapigwa kipute cha mpira wa makaratasi au kitenesi au gozi magoli madogo au one touch mpaka mtakapo muuzi mwenye mpira basi game inaisha. Straight home umechafuka kama zombie, unachezea vitasa kwa kuchelewa, kupoteza peni na kuchafuka. Baada ya drama zote hizo, una chill unapiga msosi huku ukisikiliza kipindi cha MIKINGAMO.
Wahenga wenzangu mtaongezea utamu
Literally anaiambia jamii kuwa hakustahili kuendelea na masomo!Enzi hizo miaka ya 70, kuna jamaa alivunja dirisha la shule akiwa kidato cha 3.
Leo nimemuona kwenye media akimuonyesha mkewake, na akalipa fedha kwaajili ya ukarabati wa dirisha lile pamoja na mengine alio haribiwa na wanafunzi watukutu kama alivyokua yeye......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ila simtaji kwa jina...[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo kwenye OB van pia alikuwepo "loi namaloe" sina uhakika na ''spelingi' za hilo jinaNatilia shaka uhenga wako!
David wakati hajawahi kusoma mazungumzo baada ya habari.
Kwenye OB van yupo chrispin Lugongo......
Mzee Khalid ponela na kipindi chake cha zilipendwa kila jumapili saa 4 asubuhi na baadae jioni kipindi chake kingine cha Klabu raha leo showkipindi cha misakato unasikiliza nyimbo mpya zilizoingia studio, kipindi cha mikingamo unasikiliza wahujumu uchumi kwenye mashirika ya uma wakianikwa
noma kweli kweliAhahaha we mhenga noma aisee....
Wahenga tumekula raha, jose amekuwahikweli mkuu..kama sio mihogo basi ni visheti na karanga za kukaanga..nimekuwa wa kwanza kwenye huu uzi sababu mzee josee haya hajayapitia
Bado wewe siyo muhengaMmmh.
Ina maana na mimi ni muhenga?? Haiwezekani
nmekukubali, unakaribiakaribiaMzee Khalid ponela na kipindi chake cha zilipendwa kila jumapili saa 4 asubuhi na baadae jioni kipindi chake kingine cha Klabu raha leo show
For sure brother, very trueHistorical Truth
We, the people born between *1950-1990* are the blessed ones...
We are the awesome people... Our life is a living proof.
While playing and riding rented bicycle, we never bothered to wear helmets. We played marbles, tabala, dodging, skipping ropes, Etc.
After school time we played until dusk but never watched the world (TV) by locking up ourselves in a room.
We played only with our real friends, not with www.com friends.
If we ever felt thirsty, we drank tap water or water from the stream . bottled water didn't exist.
We never got ill even after sharing the same juice or drink with four friends.
We didn't put on weight even after eating plate full of sweets, garri, yam, plantains. On special days (Xmas. New Year) we had rice and chicken.
Nothing happened to our feet even after roaming and kicking ball made of rags or rubber bare footed
We never used any health supplements to keep ourselves healthy.
We used to create our own toys, bamboos, carton and milk tins.
Our parents were not rich, and they never chased after money. They just searched for and gave only love.. not any worldly possession.
We never had mobile phones, DVDs, Play stations, X-Boxes, video games, personal computers, internet, instagrams, Facebook, but we had many good friends.
We used to visit our friend's home unannounced and enjoyed food with them. We never had to call them and ask for their parents permission to visit their home.
Loving people were near to us so our hearts and souls were happy. Hence we never required any insurance policy.
We might have been in Black and White photos but you find colourful memories in them
The Ultimate is that we are a unique and the most understanding generation, because we are the last generation that listened to their parents and also the first that have to listen to their children.
We are the last set of people to treck kilometers bare footed to school, and yet carry our children to school in cars or by drivers.
The last generation to enjoy free public school education but the first to pay to train children In private schools.
We had less homework in our days so we could help our parents in home duties but have to assist our kids in their homework who cannot assist parents or maids in home duties.
We are not special, but a LIMITED EDITION and ENDANGERED SPECIES. I am proud I belong to this noble generation.
Please feel free to share if you are one of us.
Yaah, it sounds like that.Hapo kwenye OB van pia alikuwepo "loi namaloe" sina uhakika na ''spelingi' za hilo jina
Huo uji mpaka leo naukumbuka, ulikua mtamu sanaTulikunywa uji wa buruga na mafuta '' msaada kutoka serikali ya Marekani''
Nimekusoma mzee kifimbo cheza, hapana panga la shabaKumbe hata wahenga wanaandika "Miogo" badala ya ''Mihogo?" nilidhani ni dot com tu wasiopenda kuitumia herufi H
Huyo atakuwa ndiye mhenga aliyesema mla mbuzi hulipa ng'ombeEnzi hizo miaka ya 70, kuna jamaa alivunja dirisha la shule akiwa kidato cha 3.
Leo nimemuona kwenye media akimuonyesha mkewake, na akalipa fedha kwaajili ya ukarabati wa dirisha lile pamoja na mengine alio haribiwa na wanafunzi watukutu kama alivyokua yeye......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ila simtaji kwa jina...[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ohhoooo......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo atakuwa ndiye mhenga aliyesema mla mbuzi hulipa ng'ombe
Alafu leo ndio namba 1 wa wadanganyika....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Literally anaiambia jamii kuwa hakustahili kuendelea na masomo!
Mind-set yake ni "KUHARIBU"
Angalieni "anavyovunja dirisha" la nchi ya tanzania.
supermarikiti upo: oat mealHuo uji mpaka leo naukumbuka, ulikua mtamu sana