FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Jan 18, 2022 #21 Kumbe Ambangile ni shoga
Herbert Nkuluzi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,592 Reaction score 2,629 Jan 18, 2022 #22 Ni kweli Juma ana vitu kamzidi Kapombe ila Kapombe haingii mara mbili kwa Juma ikiwa hivyo Juma angekuwa timu kubwa zaidi ya Yanga
Ni kweli Juma ana vitu kamzidi Kapombe ila Kapombe haingii mara mbili kwa Juma ikiwa hivyo Juma angekuwa timu kubwa zaidi ya Yanga
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Jan 18, 2022 #23 Nilichogundua ukizigusa Simba na yanga bas tambua umeamua kukaribisha matusi Ukwel n kuwa ambangile anasimamia kile anachokiamin Haishi kinafiki hata kidogo Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nilichogundua ukizigusa Simba na yanga bas tambua umeamua kukaribisha matusi Ukwel n kuwa ambangile anasimamia kile anachokiamin Haishi kinafiki hata kidogo Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,282 Reaction score 6,303 Jan 18, 2022 #24 Kwani amedanganya? Djuma ana goli 1 na assist 2 amehusika kwenye magoli 4. kapombe?
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Jan 18, 2022 #25 Acha kufananisha KAPOMBE mchezaji wa timu kubwa na aliyewahi kuchezea timu kubwakubwa tu.。。na huo utopolo ambao mafanikio yake ni kucheza utopwinyo, Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Acha kufananisha KAPOMBE mchezaji wa timu kubwa na aliyewahi kuchezea timu kubwakubwa tu.。。na huo utopolo ambao mafanikio yake ni kucheza utopwinyo, Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Jan 18, 2022 #26 Mpira ni mchezo wa wazi acheni kumlinganisha JUMA na vitu vya kipuuzi