Hii NI Dharau

Hii NI Dharau

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Timu yenye Points nyingi
1. Manchester City - 19
2. Arsenal Football - 19
3. Tottenham Hots - 18

Timu zilizoshinda mechi nyingi.
1. Arsenal Football - 6
2. Manchester City - 6
3. Tottenham Hots - 5

Timu zilizotoa sare chache.
1. Manchester City - 1
2. Arsenal Football - 1
3. Liverpool F. Club - 1

Timu zilizopoteza mechi chache
1. Tottenham Hots - 0
2. Arsenal Football - 1
2. Manchester City - 1

Timu zilizofunga magoli mengi.
1. Arsenal Football - 19
2. Manchester City - 19
3. Liverpool F. Club - 18

Timu zenye uwiano mzuri wa magoli.
1. Manchester City - 11
2. Arsenal Football - 10
3. Tottenham Hots - 09

Timu zilizofungwa magoli machache.
1. Tottenham Hots - 4
2. Everton Football - 6
3. Southampton Fc - 6

Naomba kuuliza kwamba *Manchester United* na *Chelsea* kwani wanacheza Ligi Daraja la ngapi...?? Au wanacheza Ligi ya Nchi gani...?? [emoji15][emoji15][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Inaonekana wewe ni mgeni na ligi, miaka karibu yote Arsenal uongoza tena kwa tofauti ya kubwa ya points ! Ikifika december asernal umaliza ligi nakuanza kuhaha!
 
arsenal ata sishangai mwishoni mnasua sua mbona hiyo kuongoza mwanzo wa ligi ni kawaida yenu tu
 
Mwaka wa kumi na ngapi huu mnalisikia kwa jirani tu kombe hilo? Linaenda Manchester au Chelsea nyie mpompo tu!ndo maana wahenga wakanena "kuchumbia sana sio kuoa "nimeweka tafsida hapa mwisho.
 
Acheni kukariri nyie mara arsenal mwisho decermber,itafika may bdo iko juu sijui mtasemaje
 
Wabongo bana, pale zilkuwa zinatajwa t
Kibao. man city, totenham, Liverpool na arsenal ila mmeacha kujibu maswali ya mtoa mada ila wote mnakimbilia kuiongelea arsenal na wala mtoa mada hajasema kama yeye ni arsenal, ujinga tu ndiomaana mmekosa na mikopo. Just kidding
 
Wabongo bana, pale zilkuwa zinatajwa t
Kibao. man city, totenham, Liverpool na arsenal ila mmeacha kujibu maswali ya mt[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Mwaka wa kumi na ngapi huu mnalisikia kwa jirani tu kombe hilo? Linaenda Manchester au Chelsea nyie mpompo tu!ndo maana wahenga wakanena "kuchumbia sana sio kuoa "nimeweka tafsida hapa mwisho.
Kipele nn
 
Back
Top Bottom