IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
mzigo upo local post office umewasili bila shaka ni ofisi ya mkoani kwangu nilipo weka ufike si ndio
Asante ndio kama ilivyokua nimeambiwa ni kachukue mzigo sas ushawasiliWatakutumia number kwenye number ambayo uliandika kwenye account yako ya aliexpress so usjl coz package zikifika posta hua wanazipa number