Hii ni email ya AliExpress? Wazoefu mje

Hii ni email ya AliExpress? Wazoefu mje

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Imeingia email hiyo hapo kwenye Screenshot.

Sasa wakuu mzigo upo local post office umewasili bila shaka ni ofisi ya mkoani kwangu nilipoweka ufike si ndio au bado upo postal kuu Dar es salaam. Wazoefu msaada nijue ikoje hii taarifa ili nitimbe postal maana ukisubiria sometimes hata wiki mbili hawakucall mzigo upo tu pale.

Screenshot_2019-11-18-11-17-21.png


Screenshot_2019-11-18-11-17-04.png
 
Sio kweli postal wenyew wameniambia mzigo upo tz ila ni DSM hapa kuanzia kesho inawasili mkoani
 
Watakutumia number kwenye number ambayo uliandika kwenye account yako ya aliexpress so usjl coz package zikifika posta hua wanazipa number
 
Tutakusaidiaje na huku umefutafuta kama mtu anayeeigilizia majibu ya mwenzie kwenye necta
 
Watakutumia number kwenye number ambayo uliandika kwenye account yako ya aliexpress so usjl coz package zikifika posta hua wanazipa number
Asante ndio kama ilivyokua nimeambiwa ni kachukue mzigo sas ushawasili
 
Yote sawa kwa walionipa ushauri mzuri lakin pia wale wakuvunja moyo wasio na lolote la mana pia nashukuru mzigo nshaupata
 
Back
Top Bottom