Hii ni first eleven yangu ya VPL baada ya raundi ya kwanza

Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza

1) Said mohamedi (MTIBWA)

2) R.kesi (SIMBA)

3) Kipobile (MBEYA CITY)

4) Isihaka (SIMBA)

5) Cannavaro (YANGA)

6) Mkude (SIMBA)/ Gaucho (C.UNION)

7) Simon msuva (YANGA)

8) Sure boy ( AZAM)

9) Atupele Green (Kagera)

10) Ame Ally (MTIBWA)/ MAZANDA (MBEYA CITY)

11) Singano (SIMBA)

KOCHA MKUU : Meck Mexime (MTIBWA)

MSAIDIZI: Minziro (Ruvu)

MSEMAJI WA TIMU: Jemedali saidi (AZAM)

Mkuu naomba kujua kigezo ulichotumia kumueka Singano na kumuacha Okwi maana pale unyamani mchango wa okwi goals na assist ni 70% katika ushindi wa simba
 
Singano kamzidi Okwi kwa alama 1
 
Singano kamzidi Okwi kwa alama 1

naomba kujua iko kigezo au kwakua singano anapiga vyenga na kufurahisha jukwaa? Katika mechi 3 tulizoshinda simba raundi ya kwanza okwi kafunga na kaassist na mechi alizokosa okwi simba inaonekana haina makali tena na singano yupo ndani
 
Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza

1) Said mohamedi (MTIBWA)

2) R.kesi (SIMBA)

3) Kipobile (MBEYA CITY)

4) Isihaka (SIMBA)

5) Cannavaro (YANGA)

6) Mkude (SIMBA)/ Gaucho (C.UNION)

7) Simon msuva (YANGA)

8) Sure boy ( AZAM)

9) Atupele Green (Kagera)

10) Ame Ally (MTIBWA)/ MAZANDA (MBEYA CITY)

11) Singano (SIMBA)

KOCHA MKUU : Meck Mexime (MTIBWA)

MSAIDIZI: Minziro (Ruvu)

MSEMAJI WA TIMU: Jemedali saidi (AZAM)

Mkuu ahsante kwa utafiti wako usio na ushikamani.

Nimegundua mambo mawili, wewe ni shabiki na sio mtu unayetazama mpira kwa jicho la ziada kama kocha au mchambuzi na kikosi chako kimeathiriwa sana na yale unayona kwenye televisheni au kusoma magazetini.

Kikosi chako kina wachezaji wanne wa Simba, timu ambayo iko nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi huku kikiwa hakina hata mchezaji mmoja wa JKT Ruvu, Ruvu Shooting au Polisi Morogoro ambazo zote zipo juu ya Simba kwenye msimamo.

Mchezaji kama Gaucho umemweka kwa kuwa ni maarufu na anamulikwa kuliko mchezaji yeyote wa CU na Kibopile umemweka kwa kuwa alifunga goli dhidi ya Simba.

Huko FIFA kuna kitu wanaita Player Index, huu ni utaratibu wa kumpa alama juu ya 10 mchezaji kwa mujibu wa kiwango alichocheza. Hapa kwetu sijaona bado utaratibu huo, ndio maana ubora utaamuliwa na Magazeti, tena kutoka kwenye mechi ambazo Azam TV watarusha.

Mchezaji aliyeperform kwa index ya 9.8 mechi ya Ndanda na Polisi Morogoro hawezi kuonekana lakini aliyekamia mechi yoyote vs Yanga au Simba ataonekana na kuonwa bora.

Kazi nzuri hata hivyo!
 
Kazimoto c wa VPL tena. Hapo labda hao wawili Nditi na Domayo.
Ongeza na "Pass master" Salum Telela, anaweza kupiga long pass na short pass.
Dogo anajua sana ila watu hawajamuelewa. Ipo siku kila mtu atamkubali.
 
Mkuu ahsante kwa utafiti wako usio na ushikamani.

Nimegundua mambo mawili, wewe ni shabiki na sio mtu unayetazama mpira kwa jicho la ziada kama kocha au mchambuzi na kikosi chako kimeathiriwa sana na yale unayona kwenye televisheni au kusoma magazetini.

Kikosi chako kina wachezaji wanne wa Simba, timu ambayo iko nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi huku kikiwa hakina hata mchezaji mmoja wa JKT Ruvu, Ruvu Shooting au Polisi Morogoro ambazo zote zipo juu ya Simba kwenye msimamo.

Mchezaji kama Gaucho umemweka kwa kuwa ni maarufu na anamulikwa kuliko mchezaji yeyote wa CU na Kibopile umemweka kwa kuwa alifunga goli dhidi ya Simba.

Huko FIFA kuna kitu wanaita Player Index, huu ni utaratibu wa kumpa alama juu ya 10 mchezaji kwa mujibu wa kiwango alichocheza. Hapa kwetu sijaona bado utaratibu huo, ndio maana ubora utaamuliwa na Magazeti, tena kutoka kwenye mechi ambazo Azam TV watarusha.

Mchezaji aliyeperform kwa index ya 9.8 mechi ya Ndanda na Polisi Morogoro hawezi kuonekana lakini aliyekamia mechi yoyote vs Yanga au Simba ataonekana na kuonwa bora.

Kazi nzuri hata hivyo!
Tupe cha kwako kwa mujibu wa index
 
Tupe cha kwako kwa mujibu wa index

Sio kazi rahisi kama unavyodhani, ni kazi ya kitaalamu na inayotakiwa ifanywe bila mwegamo wa pende wowote. Kuwe na taarifa za mechi zote, za timu zote.

Mimi sina index, na sidhani kama zilizokuwepo ni sahihi sana hivyo siwezi kutengeneza kikosi mkuu.
 
Singano amemueka kwa kuzingatia ushabiki zaidi kuliko hali halisi

Sijaangalia mechi nyingi msimu huu but only Canavaro,Mkude na Msuva ndio naweza kukubaliana nae the rest ni ushabiki tu.Wachezaji kama Kapombe,Kavumbangu,Luhende,wameonyesha viwango vizuri
 
Hii ni first eleven yangu wa Vpl msimu huu ktk duru ya kwanza

1) Said mohamedi (MTIBWA)

2) R.kesi (SIMBA)

3) Kipobile (MBEYA CITY)

4) Isihaka (SIMBA)

5) Cannavaro (YANGA)

6) Mkude (SIMBA)/ Gaucho (C.UNION)

7) Simon msuva (YANGA)

8) Sure boy ( AZAM)

9) Atupele Green (Kagera)

10) Ame Ally (MTIBWA)/ MAZANDA (MBEYA CITY)

11) Singano (SIMBA)

KOCHA MKUU : Meck Mexime (MTIBWA)

MSAIDIZI: Minziro (Ruvu)

MSEMAJI WA TIMU: Jemedali saidi (AZAM)

Kwa Hio Wageni Kama Akina Niyonzima,Okwi, Majwega. Nk... Si Lolote Kwa Wazawa!!! Maana Sijaona Mgeni Hapo!
 
Singano amemueka kwa kuzingatia ushabiki zaidi kuliko hali halisi

Huyu jamaa wa ajabu sana, huwezi kumuacha Deus Kaseke wa mbeya city mchezaji ambae anapambana na anaisaidia timu kupata matokeo mazuri kwa kila game halafu eti unaweka lojolojo Singano hivi huyu kweli anafuatilia ligi ya bongo kweli!!? Jambo lolote ukitanguliza ushabiki sana unaharibu na ndicho alichokifanya Revocatus Kashaga.
 
Sijaangalia mechi nyingi msimu huu but only Canavaro,Mkude na Msuva ndio naweza kukubaliana nae the rest ni ushabiki tu.Wachezaji kama Kapombe,Kavumbangu,Luhende,wameonyesha viwango vizuri

jamaa kamueka atupele green mwenye goli 1 na kumuacha kavumbagu mwenye goli 5 au kisa aliifunga simba pale taifa
 
Kwa Hio Wageni Kama Akina Niyonzima,Okwi, Majwega. Nk... Si Lolote Kwa Wazawa!!! Maana Sijaona Mgeni Hapo!
Huyu mtoa post amekurupuka sana eti umuweke nje Shomary Kapombe halafu umuweke ndani Hassan Kesi!!?
Mimi binafsi naona vpl hakuna beki ya kulia bora ya kumshinda kapombe.
 
jamaa kamueka atupele green mwenye goli 1 na kumuacha kavumbagu mwenye goli 5 au kisa aliifunga simba pale taifa

jkt ruvu imefanya vizuri ipo nafasi ya 4 cha ajabu haina hata mchezaji mmoja timu yangu ya simba imefanya vibaya tena ipo nafasi ya chini inawachezaji wengi(4)
 
Mkuu ahsante kwa utafiti wako usio na ushikamani.

Nimegundua mambo mawili, wewe ni shabiki na sio mtu unayetazama mpira kwa jicho la ziada kama kocha au mchambuzi na kikosi chako kimeathiriwa sana na yale unayona kwenye televisheni au kusoma magazetini.

Kikosi chako kina wachezaji wanne wa Simba, timu ambayo iko nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi huku kikiwa hakina hata mchezaji mmoja wa JKT Ruvu, Ruvu Shooting au Polisi Morogoro ambazo zote zipo juu ya Simba kwenye msimamo.

Mchezaji kama Gaucho umemweka kwa kuwa ni maarufu na anamulikwa kuliko mchezaji yeyote wa CU na Kibopile umemweka kwa kuwa alifunga goli dhidi ya Simba.

Huko FIFA kuna kitu wanaita Player Index, huu ni utaratibu wa kumpa alama juu ya 10 mchezaji kwa mujibu wa kiwango alichocheza. Hapa kwetu sijaona bado utaratibu huo, ndio maana ubora utaamuliwa na Magazeti, tena kutoka kwenye mechi ambazo Azam TV watarusha.

Mchezaji aliyeperform kwa index ya 9.8 mechi ya Ndanda na Polisi Morogoro hawezi kuonekana lakini aliyekamia mechi yoyote vs Yanga au Simba ataonekana na kuonwa bora.

Kazi nzuri hata hivyo!

Umeandika vizuri sana, kosa moja tu. Hujaanika 1st eleven yako tuishindanishe na ya Revocatus Kashaga. Ukiona mtu kaanika 1st eleven alafu wadau wanatoa kasoro ya wachezaji wawili tu au watatu basi ujue huyo mdau kajitahidi vya kutosha.
 
Back
Top Bottom