Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Range Rover inasimama kuwa ni Moja ya Best SUV Cars in the World. Na asilimia 90 ya Matajiri Duniani hawakosi moja ya Version za Range Rover zilizopo hapa Chini.
Binafsi nmefanikiwa kuwa na hizi version mbili za chini. Namba tatu na namba nne. Na juzi juzi nlipoenda Arusha nlikuwa na hiyo namba nne. Ni gari zito linalokaa vizuri barabarani. Unakanyaga mafuta mpaka 180 ila unahisi kama upo tu speed ya 90.
Wengi huwa hawajui tofauti yake na kuna jamaa yangu aliniuliza kwa nini nimenunua gari moja tofauti rangi (moja black hiyo namba nne na nyingine dark gray hiyo namba tatu) akiamini ni gari ile ile mpaka nlipomwonesha tofauti zake.
Gari haiyumbi inatulia barabarani naona pia unaweza kuona jinsi inavyo gain momentum from 0-100 speed. Na hii ni kutokana na kuwa na Horse Power kubwa. Si gari ya kuwa nayo ikiwa unafikiria fikiria mafuta. Ila ni gari yenye heshima sana hapa Duniani.
Karibuni kwenye Ulimwengu wa RANGE ROVER. Tupeane uzoefu zaidi na ushauri.