Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji23]
Kwa hiyo unamiliki range mbili?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unamiliki range mbili?!
Hapa wa kukupa uzoefu watakuwa ni wachache sana. Wengi tumekuja kuchukua uzoefu kwa kuwa hizi gari tunazionaga tu kwa mbali... Sie bado tuko level ya Vitz... Hongera kwa kumiliki mikoko ya maana!Karibuni kwenye Ulimwengu wa RANGE ROVER. Tupeane uzoefu zaidi na ushauri.
Mnunulie na mimi niiendeshe!Svauto ndo imebaki na mwonekano wa kale ulioboreshwa wa RR. Nami nlilipenda sababu limekaa kiume sana na hasa sisi wenye misimamo ya kale ya RR. vijana wakoloni.lina space pia kubwa sana.
Evoque nliona inafaa sana kwa wadada, ntakuja kumnunulia wife nikioa yeye awe na evoque.
pamoja na barabara mbona huwa naclock 280 kph? maana mchuma nilio nao ni 320 Kph. Ila sio barabtra zote katika nchi hii nui nyembamba na kwa kuoishana na magari mengine inabidi upunguze walao iwe 200
Mnunulie na mimi niiendeshe!
Jibu litakuwa ni ndio, na tayari kuwa na moja tu ni tajiri ila usiulize utajiri kaupataje.Kwa hiyo unamiliki range mbili?!
Niwaoe wote? Au ungesema "ninunulie" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnunulie tu ...ila nitaliendesha
most important ni aina ya gari. hizi za mjapani subutu!! ile 140 tu kanaanza kuyumba hasa ukikitana na semi! ila kama kitu ya jerumani!! funga madirisha weka kiyoyozi na gospel za kutosha unafika 200 hata huoni kama inatembea!!Safi sana. Ni maamuzi tu ndugu yangu unaweza fika huko ukiamua.
Hujasoma thread yake?Kwa hiyo unamiliki range mbili?!
hizi gari za kawaida sana unaweza pata old model hata kwa 18-20 ukiagiza
na also medereva wengi hapa tz sio madereva walifundishwa!! mtu anajifunza na autaomatic kuweka D na R basi!! akishajua anavuta mkoko na cmu juu akiwa anaendesha hapo hata 60 Kph. unaona gari kama inapaa!! kuna jamaa ana Crown lakini max speed yake ni 50 na akizidi 70 mwisho!!Safi sana. Ni maamuzi tu ndugu yangu unaweza fika huko ukiamua.
Mimi ninazo zote pamoja na hiiRange Rover inasimama kuwa ni Moja ya Best SUV Cars in the World. Na asilimia 90 ya Matajiri Duniani hawakosi moja ya Version za Range Rover zilizopo hapa Chini.
View attachment 1099973
Binafsi nmefanikiwa kuwa na hizi version mbili za chini. Namba tatu na namba nne. Na juzi juzi nlipoenda Arusha nlikuwa na hiyo namba nne. Ni gari zito linalokaa vizuri barabarani. Unakanyaga mafuta mpaka 180 ila unahisi kama upo tu speed ya 90.
Wengi huwa hawajui tofauti yake na kuna jamaa yangu aliniuliza kwa nini nimenunua gari moja tofauti rangi (moja black hiyo namba nne na nyingine dark gray hiyo namba tatu) akiamini ni gari ile ile mpaka nlipomwonesha tofauti zake.
Gari haiyumbi inatulia barabarani naona pia unaweza kuona jinsi inavyo gain momentum from 0-100 speed. Na hii ni kutokana na kuwa na Horse Power kubwa. Si gari ya kuwa nayo ikiwa unafikiria fikiria mafuta. Ila ni gari yenye heshima sana hapa Duniani.
Karibuni kwenye Ulimwengu wa RANGE ROVER. Tupeane uzoefu zaidi na ushauri.

Unanikumbusha miaka ya 2000 mwanzoni dream car yangu ilikuwa starlet kisa tu dully Sykes alikuw anakimbizia mademu mtaani. Nilipokuja Anza shika hela yangu hicho kigali kikawa kipo outdated kabsaa.Inachoniuma hii gari kila siku inazidi kupoteza muonekano wake labda hiyo autobiography kidogo..
Ndoto yangu inazidi kupotea nikija kupata mahela gari ya ndoto zangu ifakua imeshapitoza muonekano wake ndio hela zitaishia bar alafu mnaanza kunilaumu poa tu