Hii ni Gari Halali kwa Matajiri Duniani ila Wengi hawajui Utofauti wa Hizi Gari.

Hongera kwa kujaliwa hayo
Ngoja nijitahidi nimiliki kagari kadogodogo.
 
Mzalendo wewe kutoziona haifanyi mimi nisiwe nazo. Hilo la kwanza.

Hizi ni gari imara nzito ambazo zimebalance vizuri hata unapokimbiza haiwi nyepesi kusababisha ianguke kirahisi. Ni gari imara na zenye nguvu.

Lakini pia mimi yangu imeshawahi pata pancha nikatembea umbali mrefu bila badilisha kama vile halijapata pancha. Though alarm ilishanitaarifu jambo hilo (umeme una sense hata tyre ikiwa na upepo kidogo)

Cameras zipo mbele na nyuma pia.haziyumbi barabarani.na kadri unavyoikimbiza yenyewe inachutama kukumbatia ardhi hivyo kutengeneza stability. Bullet proof bodies zipo na za kawaida zipo yangu si bullet proof but ina bati la tofauti na nyingi za toyota ambazo hata ukiegemea linabonyea.

Mimi nina kgs 90 plus nasimama juu ya hiyo bonnet bila shida kabisa.ndani ni comfortable ukikaa barabarani umefunga vioo (of course hii gari sijawahi tembea nayo vioo wazi) ukakanyaga mpaka speed 180-200 huhisi kama gari inakimbia sana.

Sema ukitizaman nje utaona watu wameshika vichwa na kuacha vinywa wazi.wanashangaa hii ndege ya chini chini inaenda wapi. Hii ni moja ya tofauti kubwa na gari za toyota.

 
ok good sasa umeanza kunielewesha, vip ukilinganisha na hizi vx za wakuu wa kaya
 
Sina uzoefu na VX au GX. MWENYE UZOEFU ATUSAIDIA AKILINGANISHA NA RR. BUT KI UHALISIA RANGE ROVER HUWEZI ILINGANISHA NA TOYOTA VX AU GX


ok good sasa umeanza kunielewesha, vip ukilinganisha na hizi vx za wakuu wa kaya
 
Mimi Autobiography bana acha kabisa bado ni masculine nyingine zinapoteza muonekano wake wa awali
 
inaezekana anapicha za range rover usibishe mbona me nna ford ranger mkuu!yah nnapicha ya ford ranger na nimeiweka as my phone profile pic.
Dah mwenye Range Mbili hata mimi nadhani hawezi kuwa anaadika Nyuzi JF hapa.. though inawezekana!
 
inaezekana anapicha za range rover usibishe mbona me nna ford ranger mkuu!yah nnapicha ya ford ranger na nimeiweka as my phone profile pic.
Ahahaha Niamini mimi kibongo bongo mwenye Range Mbili ni Bilionea na ni ngumu Bilionea kupoteza Muda JF..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…