Hii ni Gari Halali kwa Matajiri Duniani ila Wengi hawajui Utofauti wa Hizi Gari.

Siku nitakayojaaliwa kuwa napesa yakumiliki gari ya Khali basi gari yakwanza nitanunu RANGE.
 
Kuna sehemu hapo same jamaa yangu ana honda ina 280 speed huwa anafikisha 240
 
Kwenye hili nakubaliana na wewe, kuwa gari zilikuwa manufactured Europe kwa ujumla ni stable na nguvu hata kuwa na uwezo wa kukinga kiwango cha ajali kisitokee mara kwa mara. Kuna acc moja iko ista inaonyesha nguvu za gari za Muingereza kuweza kufaulisha gari za mjapani kwenye mazingira magumu (huu ni mfano tu)
 
[emoji16][emoji3]
 
Niko kwa bmw mkuu ila kabla mwaka huu haujaisha ntahamia range
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…