Hii ni Gari Halali kwa Matajiri Duniani ila Wengi hawajui Utofauti wa Hizi Gari.

Dogo bado tu umekomaa na kiki za kusaka mademu kwa nguvu




@#$**********$#&@@ [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]


[emoji124]
 
Napenda sana velar,Mungu ajalie niivute hii this year
 
1. RR Cullinan
2. Lambo Urus
3. Bentayga
4. G63
Hutojutia ukichukua moja wapo hapo
 

Attachments

  • avto_msk-20190518-0003.jpg
    58.2 KB · Views: 27
  • avto_msk-20190518-0002.jpg
    53.9 KB · Views: 26
Niko job hapa TRA mkoa flan kesho tuma plate namba za hizo range zako na jina lako halisi niangalie kwenye mtambo wa taifa
 
Hizo gari ni za heshima kweli sio mchezo mimi hiyo ya Kwanza sijui mnasema ya kike poa tuu nakaona ni kazito kweli kanashika lami ila Mimi hiyo ya pili kutoka juu ndio chaguo langu na Porsche Cayyene siku hiyo ntakavyoamka na mpunga ninao ntachukua yeyote nimezifatilia naona sifa nazotaka zinaenzana ila Porsche ni jiwe zaidi lisilojulikana...
 
Dah na mtindo wa kusoma content bila kuangalia mtumaji, baada ya kuangalia picha na kusoma line ya kwanza. hapo ikabidi nirudi juu ni hakiki jina la mtumaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…