Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda sana velar,Mungu ajalie niivute hii this yearRange Rover inasimama kuwa ni Moja ya Best SUV Cars in the World. Na asilimia 90 ya Matajiri Duniani hawakosi moja ya Version za Range Rover zilizopo hapa Chini.
View attachment 1099973
Binafsi nmefanikiwa kuwa na hizi version mbili za chini. Namba tatu na namba nne. Na juzi juzi nlipoenda Arusha nlikuwa na hiyo namba nne. Ni gari zito linalokaa vizuri barabarani. Unakanyaga mafuta mpaka 180 ila unahisi kama upo tu speed ya 90.
Wengi huwa hawajui tofauti yake na kuna jamaa yangu aliniuliza kwa nini nimenunua gari moja tofauti rangi (moja black hiyo namba nne na nyingine dark gray hiyo namba tatu) akiamini ni gari ile ile mpaka nlipomwonesha tofauti zake.
Gari haiyumbi inatulia barabarani naona pia unaweza kuona jinsi inavyo gain momentum from 0-100 speed. Na hii ni kutokana na kuwa na Horse Power kubwa. Si gari ya kuwa nayo ikiwa unafikiria fikiria mafuta. Ila ni gari yenye heshima sana hapa Duniani.
Karibuni kwenye Ulimwengu wa RANGE ROVER. Tupeane uzoefu zaidi na ushauri.
Usiichukulie poa JF, humu kuna kila kada.!Dah mwenye Range Mbili hata mimi nadhani hawezi kuwa anaadika Nyuzi JF hapa.. though inawezekana!
Hahahaa ni kweli lakini una comment gani kuhusu Hili?Usiichukulie poa JF, humu kuna kila kada.!
Jamaa chumvi nyingi sana.Hahahaa ni kweli lakini una comment gani kuhusu Hili?
Ahaha anayumba sana!Jamaa chumvi nyingi sana.
asiyejua maana haambiwi maanaBasi wewe utakuwa mpumbavu. Maana sioni uhusiano wowote hapo.
1. RR Cullinan
2. Lambo Urus
3. Bentayga
4. G63
Hutojutia ukichukua moja wapo hapo
Hahaha mkuu ile mark ii ulishaiuza hahahaKawaida tu mkuu. Siyo issue sana. Na gari aina nyingine pia but si toyota. Nawaza V8 Kama linaweza faa pia. Though sina uzoefu sana na gari za toyota
velar na mie nazipenda sanaaa..Napenda sana velar,Mungu ajalie niivute hii this year