unque bin unuq
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 350
- 456
Kijana mmoja alikuwa anapenda sana kutazama picha za ngono. Siku moja wakati anatizama alisahau kufunga mlango kama kawaida yake... Mara kwa ghafla mamake akaingia chumbani. Katika kujitetea akamwambia mamake
"Mama angalia vile Wamarekani wanavyo wafanya wanawake wa Vietnam... kweli ni haki hii!?"
"Mama angalia vile Wamarekani wanavyo wafanya wanawake wa Vietnam... kweli ni haki hii!?"