Hii ni haki kweli?

Hii ni haki kweli?

unque bin unuq

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
350
Reaction score
456
Kijana mmoja alikuwa anapenda sana kutazama picha za ngono. Siku moja wakati anatizama alisahau kufunga mlango kama kawaida yake... Mara kwa ghafla mamake akaingia chumbani. Katika kujitetea akamwambia mamake



"Mama angalia vile Wamarekani wanavyo wafanya wanawake wa Vietnam... kweli ni haki hii!?"
 
Kwa kweli hii sio haki.Yaanai kichekesho hata hakichekeshi. hujatutendea haki kabisa
 
Back
Top Bottom