utamdhalilishaje mwenzio unapotoka nje ya ndoa?
Si wote wanaotoka nje ya ndoa/mahusiano wanajidhalilisha, kuwadhalilisha wenzi au hata wazazi wao. Kutoka nje ya ndoa ni maamuzi binafsi kama vile ambavyo mtu anaamua kuolewa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa ujumla.
Kusema kuwa ni kudhalilisha na sawa na kujibinafsisha ukubwani kwa mtu asiyejua unapotaka, asiyekuelewa na asitake kufanya bidii ya kukuelewa, anayetaka kukumiliki.
Inapofikia mtu anatoka nje ya mahusiano lazima ni kwa minajili ya self satisfaction na sio kujidhalilisha. Unless anayetoka nae amdhalilishe.
Kutegemeana na sababu ya kutoka nje