Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Nov 18, 2010 #41 Maty said: hahahaaaaaaaaaa umenichekesha lol kwa hiyo ndio kaamua kwenda kuspend nalo sikukuu sa c angemuacha mwenzie akajichanganye na yeye Click to expand... Kampani yake ilikuwa inahusika sana hapo ndo maana ukaachiwa matambala uyatunze yeye anapepelewa huko
Maty said: hahahaaaaaaaaaa umenichekesha lol kwa hiyo ndio kaamua kwenda kuspend nalo sikukuu sa c angemuacha mwenzie akajichanganye na yeye Click to expand... Kampani yake ilikuwa inahusika sana hapo ndo maana ukaachiwa matambala uyatunze yeye anapepelewa huko
GY JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,279 Reaction score 126 Nov 18, 2010 #42 Maty said: Kumbe babu analetaga nini? hiyo sheria namba tatu ndio ile inasema ukiona kizuri kifungie ule peke yako au Click to expand... Sijui ngoja aje aseme, au ni-PM nikwambie
Maty said: Kumbe babu analetaga nini? hiyo sheria namba tatu ndio ile inasema ukiona kizuri kifungie ule peke yako au Click to expand... Sijui ngoja aje aseme, au ni-PM nikwambie
GY JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,279 Reaction score 126 Nov 18, 2010 #43 Kimey said: Hiyo nilifanya wakati nikiwa primary.... Click to expand... Siku izi kuna MEMKWA lakini?
Kimey JF-Expert Member Joined Mar 25, 2009 Posts 4,117 Reaction score 833 Nov 18, 2010 #44 generation-Y said: Siku izi kuna MEMKWA lakini? Click to expand... Siku hizi hakuna longolongo....yaani Unatoa lami unaweka lami na unatoa vumbi unaweka fumbi....:evil:
generation-Y said: Siku izi kuna MEMKWA lakini? Click to expand... Siku hizi hakuna longolongo....yaani Unatoa lami unaweka lami na unatoa vumbi unaweka fumbi....:evil: