Hii ni hali ya Rainbow Beach Serikali ya Mtaa safishen hili eneo limejuwa hatarishi kwa uchafu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuwa uone mengi

Hii ni sehemu ya Rainbow Mbezi Beach ambapo watu mbali mbalihuuja kupumzika na wengine hufanya mazoezi kukimbia magonjwa hatarishi

Kwenu serikali za mitaa Mbezi Beach embu tuache siasa tusaidie kulisafisha na kutunza eneo letu hili la siku nyingi.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
HATARE SANA MKIENDA MJIPANGE
 

Attachments

  • 20240519_164750.mp4
    28.3 MB
Hapo mkuu wa mkoa yupo, mkurugenzi yupo hahaha ndiyo maana tunasema Makonda ni jembe
 
Hata wakisafisha pasi na kuweka sheria Kali kwa wachafuzi na kuweka vikusanya uchafu bado kazi ni bure
 
Kama akili za kujipenda na kuhakikisha mazingira tunayoishi yako salama hazipo mnafikiri tutaweza kujenga viwanda kweli???
 
Ila ishu ya kudhibiti taka maji na taka ngumu tunajitoa ufahamu ila ipo siku tutalazimika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…