Hii ni hatari:-

kamkoda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
396
Reaction score
71
[h=1]Abiria wasiovaa ‘helmeti’ sasa kutozwa Sh30,000[/h]




Posted Friday, November 2 2012 at 08:21
In Summary
“Akikamatwa abiria hakuvaa kofia ngumu atatozwa faini ya Sh 30,000 au kufikishwa mahakamani na kama dereva naye hakuvaa kofia atapewa adhabu hizo kwa mujibu wa sheria na pia pikipiki itafikishwa kituoni kwa ajili ya ukaguzi, ikiwa ni pamoja na bima, leseni na vitu vingine ambavyo ni muhimu katika uendeshaji wa pikipiki,” alisema Gyindo.
 

Mkuu mbona unaweka habari nusu nusu;

Mwaga yote tuielewe ni muhimu sana taarifa hii.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…