[h=1]Abiria wasiovaa helmeti sasa kutozwa Sh30,000[/h]
Posted Friday, November 2 2012 at 08:21
In Summary
Akikamatwa abiria hakuvaa kofia ngumu atatozwa faini ya Sh 30,000 au kufikishwa mahakamani na kama dereva naye hakuvaa kofia atapewa adhabu hizo kwa mujibu wa sheria na pia pikipiki itafikishwa kituoni kwa ajili ya ukaguzi, ikiwa ni pamoja na bima, leseni na vitu vingine ambavyo ni muhimu katika uendeshaji wa pikipiki, alisema Gyindo.