Hii ni Hujuma au ni nini?

lyangatamwa

New Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
4
Reaction score
1
Habari nilizozipata toka chuo kikuu mzumbe ni kwamba hawa jamaa tangia wafungue chuo mwezi wa kumi mpaka sasa hawajapata pesa zao za mkopo yaani pesa za misosi, hapo ni nani alaumiwe? Ni uongozi wa chuo au wanafunzi wenyewe au Bodi ya mikopo?
 
kilaza anaongoza kila mtu anafanya atakalo hakuna wa kuwawajisha wazembe

Kinana kakwiba meno ya tembo nani anashughulika nae

Lowasa na Richmond yake ndo kwanza anautaka urais

Mkuu jk na suti za weekleaks

Change na vijisenti vya rada

Pinda na uwongo wa mauwaji ya arusha mpaka leo bib kiroboto kakalia maelezo ya lema kumlinda pinda na ccm wasiumbuke

Kamuhanda na mauwaji ya Daudi mwangosi Iringa

Shilogile na mauwaji ya Ally zona morogoro

Rama na mateso ya ulimboka

Adam malima na Bunduki ya kijeshi morogoro

.
.
.
.

Hawa wote kama ilivyo kwa mkuru mwenyewe wangeshatoshwa madarakani na pengine kufungwa lakini nani atamfukuza nani

ikiwa wote ni wezi? Ndio maana bodi ya mikopo hawatii juhudi kulipa wanafunzi kwani mateso ya wanafunzi hayawahusu bwana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…