lyangatamwa
New Member
- Nov 26, 2012
- 4
- 1
Habari nilizozipata toka chuo kikuu mzumbe ni kwamba hawa jamaa tangia wafungue chuo mwezi wa kumi mpaka sasa hawajapata pesa zao za mkopo yaani pesa za misosi, hapo ni nani alaumiwe? Ni uongozi wa chuo au wanafunzi wenyewe au Bodi ya mikopo?