Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nawachukia sana wapinzani. Wapinzani wamekuwa watu wa hovyo sana nchini. Hawana jambo zuri hata siku moja kama ambavyo serikali yetu haina jambo baya hata siku moja.
Ila naona awamu hii wamefika mbali sana. Wameanza kuhujumu Train yetu nzuri ya kizazaa ya SGR.
NDIYO WAMEANZA UHUJUMU WA MIUNDO MBINU. Imenishtua kuanza kuwatumia Bundi na Ngedere katika uharibifu huu. Hawa viumbe wana enda kuchomoa nyaya za umeme na kusababisha Train ighairi safari kwa masaa kadhaa tu machache.
Inaumiza sana wanasahau hii train umeme ukikatika itatumia diesel. Wanasahau kabisa. Wanadhani wataikomoa train kumbe wala. Train ina back up ya either diesel au battery kubwa katika behewa mojawapo.
Anyway mimi si mtaalamu wa haya mambo darasa la 7 la miaka hii sina mambo mengi sana. Ila najua hizi ni hujuma na wivu wa wapinzani. Wameamua kabisa kwa dhati kushirikiana na viumbe hivi kutaka igombanisha serikali na watu wake. Wanataka kusambaza hofu.
Hii train ni ya kizazaa kabisa. Imenunuliwa kwa bei mchekea sana baada ya wataalamu wetu ku negotiate na wauzaji na kuwalilia watupunguzie bei. Tumeuziwa bei ambayo nchi nyingine wanalia wanatamani ingekuwa wao.
Hawa wanunuzi walio jawa na usaalundo vichwani mwao wameweza kufanya waliyofanya kwa uwezo wa kamba zao zilipofikia. Leo hii tuna train kali kwa afrika nzima.
Wapinzani wanafanya hujuma? Inaumiza sana nchi hii Mbinguni tutafika siyo tumechoka. Tutafika tumekufa kabisa.