Hii ni hujuma na hawa ni wahujumu uchumi kabisa. Serikali ifumbue macho hatujui baada ya hapa watafanya nini

Kama tulidanganywa kuhusu matumizi ya diseli kama mbadala kwenye dharura, kwa nini tusiamini kwamba na sasa tumedanganywa kuhusu hujuma inayosemekana wamefanya bundi na ngedere?
 
Wapinzani ndiyo walileta hitilafu ya umeme hapo

Ova
 
We dawa zako umemaliza?
 
TUmerudi kule kule tena: Kwa dharula yoyote yenye kuhitaji msaada wa Polisi..Taja umevamiwa na wana Chadema hata kama ni majambazi..tofauti na hapo.wafaaa.
 
Kwani mchungaji msigwa anasemaje? Au bado anajungusha picha ya Samia?
 
Ila hapo kwenye back up umedanganya. Maana baada ya ngedere kuchomoa nyaya, Treni ilisimama kwa muda wa masaa mawili na nusu. Hiyo back up ya diesel ilikuwa wapi?

Nchi hii media na watu wapo bize na madudu kwenye soka la Simba na Yanga kulikoni mambo ya msingi kwa mustakabali wa Taifa!

Elimu. Ujinga. Elimu
 
hahaha hongera sana umetumia lugha ya picha!wasio na D mbili hawawezi kukuelewa!watakurupuka kukujibu ovyo.
 
Jibu tunataka waliosema yana mifumo miwili
1) umeme
2)diesel
Kwa nini baada ya umeme kukatika yasitumie mafuta kama alivyosema Masanja Kadogosa?
Kadogosa ndiye mhujumu maana aliuhakikishia umma kuwa ni train ya kisasa.
 
Kwani mchungaji msigwa anasemaje? Au bado anajungusha picha ya Samia?
Ameshaanza kuwaletea shida kwani bei ya manunuzi ilikuwa M500, alipewa M200 kwa ahadi ya kumaliziwa baada ya mwezi mmoja, sasa wanamzingua kuwa hana ule ubora waliotegemea kuwa anao na hajaleta wanachadema wa kutosha kumfuata kama alivyoahidi, sasa biashara yenyewe ni bubu haina maandishi hivyo anabaki na kinyongo tu cha kudhulumiwa M300.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…