enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Muda mfupi uliopita zimesambaa picha na video kuhusu yaliyokuwa yanafanyika huko kwenye party za P Diddy!
Yaani kuna ibada na sala zilizokuwa zinafanyika, mazingira ya hizo ibada ndiyo utata! Siyo mbaya coz kwenye utajiri wowote kuna siri nzito! Yeye mwenyewe wanasema wanataka kumuuwa! Ni kina nani hao?
Ukitaka video mfuate huyu jamaa MattWallace888 na 50 Cent.