Hii ni ibada ambayo hufanyika kwenye party za P Diddy

Bado Snoop Doggy Dog.

NB: nasikia Yanga nao wana mpango wa kuonana na P.Diddy
1000223134.jpg

Hapana sio Yanga mkuu ni zungu huyo anataka nyota ianze kuwaka tena mana madogo wamempoteza sana
 
Muda mfupi uliopita zimesambaa picha na video kuhusu yaliyokuwa yanafanyika huko kwenye party za P Diddy!

Yaani kuna ibada na sala zilizokuwa zinafanyika, mazingira ya hizo ibada ndiyo utata! Siyo mbaya coz kwenye utajiri wowote kuna siri nzito! Yeye mwenyewe wanasema wanataka kumuuwa! Ni kina nani hao??

View attachment 3109260View attachment 3109262

Ukitaka video mfuate huyu jamaa MattWallace888 na 50 Cent.

Acha kutulisha matango pori
 
Ss nani katoa taarifa? Na ilikuwaje miaka yote walikuwa waneshindwa kutoa taarifa?
 
Muda mfupi uliopita zimesambaa picha na video kuhusu yaliyokuwa yanafanyika huko kwenye party za P Diddy!

Yaani kuna ibada na sala zilizokuwa zinafanyika, mazingira ya hizo ibada ndiyo utata! Siyo mbaya coz kwenye utajiri wowote kuna siri nzito! Yeye mwenyewe wanasema wanataka kumuuwa! Ni kina nani hao??

View attachment 3109260View attachment 3109262

Ukitaka video mfuate huyu jamaa MattWallace888 na 50 Cent.

Diddy ni mshetan wenyewe
 
Hiyo party ni unyama mtupu yaani mbususu za kutosha yaani ni wewe kupiga pumbuh unavyotaka...
 
Hahaha Suge Knight ambae anatumikia jela huko katoa siri za wengi akiwemo latest Diddy ya kuwafanyia wote wanaenda kwake kutaka kuwa famous akiwaingizia yai la kuchemsha kama Ritual au makafara yao likivunjika bado hujaiva kwenye fani hiyo
Ila kama ni hivyo waulizwe walioenda kama ni kweli
Eehh bwana ee hiv kumbe Surge yuko nyuma ya nondo???.
Tupack alishakuaga chini ya huyu mwamba enzi hizo ana hustle nafikiri mpaka umaut unamkuta alikua chini ya huyu mwamba
 
Muda mfupi uliopita zimesambaa picha na video kuhusu yaliyokuwa yanafanyika huko kwenye party za P Diddy!

Yaani kuna ibada na sala zilizokuwa zinafanyika, mazingira ya hizo ibada ndiyo utata! Siyo mbaya coz kwenye utajiri wowote kuna siri nzito! Yeye mwenyewe wanasema wanataka kumuuwa! Ni kina nani hao??

View attachment 3109260View attachment 3109262

Ukitaka video mfuate huyu jamaa MattWallace888 na 50 Cent.

Alisemaga Naomi Campbell Diddy ana dudu ndogo😅
 
Back
Top Bottom