JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 221
- 495
Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana.
Kuna wenye ushawishi kam Mshana
Watu wajuaji na wabishi kama kiranga
Wenye degree za maisha kama Analyze
Wapo wasomi wa ngazi na taalum tofauti
Pia kuna matajiri kam akina kidukuliko
Wapenda utani, wacheshi
Wapo wenye majivuno na majigambo
Kuna warembo kama akina cocastic
Wapo wanapenda utamu kama akina mzabzab
kwa ufupi hii ni jamii tukubaliane na watu wa kila aina , mtu anasema watu wa facebook wamevamia au unakuta thread flani anasem peleka huu upuuzi facebook.
Tusichukuie kila kitu serious kihivyo hapa .