Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana gani kusema wewe ni Mkristo? Kibiblia Mkristo ni yule aliye na Roho wa Kristo (Warumi 8:9). Huwezi kuwa na Roho wa Kristo halafu udhuru watu! Unatumiwa na pepo kudhuru wengine unapokasirika. Ndiyo maana Biblia inakataza Mkristo asiwachukie watu (1 Yoh. 3:13 - 14)! Unapomchukuia mtu umevunja Neno la Mungu na pepo wanakuwa na mamlaka kukutumia kutekeleza kile Neno limesema - kuua au kuleta laana juu ya watu! Nakushauri ukate shauri, utubu kwa kutokuamini kwako na uokoke!Mimi ni mkristo na naenda kanisani kila Jumapili. Na sisubiri kuombewa kwani nimekua nikijiombea mwenyewe ili Mungu aniepushe na hali hii.
Mimi ni mkristo na naenda kanisani kila Jumapili. Na sisubiri kuombewa kwani nimekua nikijiombea mwenyewe ili Mungu aniepushe na hali hii.
dah! naogopa kuchangia isije na mimi baada ya wiki ikawa ......... JAMAA MMOJA ALICHANGIA THREAD YANGU BAADA YA MWEZI AKAWA CHIZI...... MH CIAO.
Sijakuelewa mkuu, au unataka kua baba wa kambo?
Hakuna kitu chochote cha ajabu hapo huenda ni incidence tu ambazo huenda hao watu unaokorofishana nao zinawakuta na wewe kwa akili yako finyu unadhani wewe ndio chanzo. Haya mi nimekuponda humu nichukie tuone kitatokea nini?
Una maana gani kusema wewe ni Mkristo? Kibiblia Mkristo ni yule aliye na Roho wa Kristo (Warumi 8:9). Huwezi kuwa na Roho wa Kristo halafu udhuru watu! Unatumiwa na pepo kudhuru wengine unapokasirika. Ndiyo maana Biblia inakataza Mkristo asiwachukie watu (1 Yoh. 3:13 - 14)! Unapomchukuia mtu umevunja Neno la Mungu na pepo wanakuwa na mamlaka kukutumia kutekeleza kile Neno limesema - kuua au kuleta laana juu ya watu! Nakushauri ukate shauri, utubu kwa kutokuamini kwako na uokoke!
mkuu hebu sema chochote kuhusu hawa viongozi wabadhirifu na mafisadi wa uchumi wetu kwani naamini walikukwaza, wanakukwaza na wataendelea kukukwaza.
hebu sema chochote hata kuhusu mzee wa kaya....
Usinielewe vibaya mkuu, nataka kabla sijakushauri nikashauriane na maza-ako, maana napa ipresheni kuwa anajua A-Z ya shida yako. Mkuu ukinichukia n'takomaje mimi!
naona,unaonja sumu!!