Hii ni kero!!

Hii ni kero!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari zenu wanaJf

Jamani tatizo langu kubwa ni tumbo kunguruma kupita kiasi, haijalishi nimekula chakula ama sijala hali ipo palepale!!


Nahitaji msaada wenu wakuu,.
 
Back
Top Bottom