Hii ni kufuru!

Dietary intake of platinum and gold by children from Germany using duplicate portion sampling. - PubMed - NCBI
 
Nani kakwambia kua mmiliki wa huo mgahawa ni raia wa nchi za falme za kiarabu?
Punguzeni kukurupuka vijana,kitu kama hujui ni bora kupiga kimya tu au kuuliza kuliko kupotosha hadhira,
Huyo mmiliki wa hiyo Nusr-Et restaurant ni raia wa Uturuki na jina lake kamili ni Nusret Ğokçe maarufu kama "Salt Bae"
 
Nimekubali...
 
hata BenPol kala hapo nini rais wa Venezuela bana
 
Naona Mr unatembea mule mule kwenye kipenyo cha ukweli 100%, safi sana Chifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuona kama umeuliza madhara ya metal... unazijua inert metals....unajua kwa nini inatumika kwenye mapambo.... sasa mjinga ni nani ..ukiwa huku niachie tu..bwabajeni kwenye siasa zenu ..huku bado sana
 
Hata kwa viboko Uarabuni siendi, we maisha gani ukinywa bia kesi. Sasa raha ya Dunia iko wapi bila kumimina?
 
Sikuona kama umeuliza madhara ya metal... unazijua inert metals....unajua kwa nini inatumika kwenye mapambo.... sasa mjinga ni nani ..ukiwa huku niachie tu..bwabajeni kwenye siasa zenu ..huku bado sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba inert metal...!! Bhasi umeshinda wewe... Jamaa kala dhahabuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba inert metal...!! Bhasi umeshinda wewe... Jamaa kala dhahabuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye sio wa kwanza kula dhahabu... watu wengi watu wanakula vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo vimekuwa coated na dhahabu.... Google tu utaona.... muhimu haipaswi kuzidi karat 24 za pure gold kwenye chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…