Inawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu huko Dubai.
Siku za karibuni wachezaji mbalimbali waneonekana wakila nyama za kuchoma kwenye huo mgahawa unaomilikiwa na bwana mmoja raia wa nchi za falme za kiarabu. Rais wa Venezuela ni mmoja wapo wa watu waliokula kwenye mgahawa huo unaosifika kwa nyama tamu za mbuzi pamoja na manjonjo ya mmiliki wake.
View attachment 988910